Wapi hapa?

Wapi hapa?

Duh hawa jamaa wanakimbia aisee...sisi na madini tulitakiwa tuwe na Airports kama hizi kumi.
 
Si mtang'oa hadi nguzo za uwanja mkapambe majumbani kwenu, kwani nyie wakwere mna maana??

Bujibuji naona haujipendi, yaani unawatukana wakware nduguze Jakaya? Mimi sikutetei japo uliyoyasema ni ya ukweli. Ondoa Bagamoyo, hapa Dar huu uwanja mpya watu si waling'oa viti kupeleka makwao kukalia. Nakumbuka mwaka juzi wachina walishangaa kuona vinyesi kibao stejini baada ya mechi ya simba na yanga kwisha. Cha kushangaza ule uwanja watu walijazana kibao kwa maana hiyo wale waliokunya pale walikuwa wanaangaliwa tu na mashabiki wenzao. Na kama walijichamba then yale maji yalienda kwenye viti vilivyokaliwa na wewe au mimi pale uwanjani, si ndiyo? Tujiulize, sasa hapa walikuwa wanamkomoa nani? Yaani hii nchi sijuwi tutaacha lini ujinga. Baada ya kupigania CCM ife eti watu wanaenda kunya uwanja wa taifa kwa hasira gani?
 
Last edited by a moderator:
Daah...
Ukilinganisha hiki na vyetu, vinaonekana kama barabara za kurukia na kutua ndege tu!
 
kweli wenzetu wako serious na siyo sisi wenye rais anachecheka tu yaani ni kufuru ukiangalia mawaziri ndio wanawaza kuiba tu na kurudi madarakani kabla ya kuwaza maendeleo wanwaza uchanguzi ujao nitarudi au?
 
3095866280_a3064dd52a.jpg

Machame kama sikosei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom