ingekuwa kitonga kushoto kwako unapopanda kungekuwa mlima na si bonde
Nimegundua, we ni wa karatu.Siyo Kilima Tembo pale mto wa mbu usawa wa mbuga ya Manyara! Mi naona ni hapo.
Kitonga hapo
ye mwenyewe hajui hapo ni wapi!!!Pazuri kinoma ila sipajui.mwanzisha thread tupe jibu