Wapi hapa wajameni.............

Wapi hapa wajameni.............

Hatujuwani

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
51
Reaction score
10
Ni picha tu, Lakini sijui ni wapi hapa na hivi ni vinini vinavyoonekana?
Msaada jamani....................
 

Attachments

  • Photo0581.jpg
    Photo0581.jpg
    50.5 KB · Views: 200
  • Photo0583.jpg
    Photo0583.jpg
    48.4 KB · Views: 186
  • Photo0584.jpg
    Photo0584.jpg
    19.7 KB · Views: 148
Photos from Bukoba,
likely were posted in Bukobakwetu blog(not 100% sure)
 
Hapo ni Ziwa Victoria maeneo ya Mwanza au Mara. Sio Bukoba kwakuwa hao ndege kule Bukoba hawapo na sijui kwanini hao ndege waligoma kuishi huko.
 
Hapo kaka ni ufukwe wa Bwawa la Mtera katika Kijiji cha Mlazo Wilaya ya Chamwino, Dodoma.
 
Back
Top Bottom