Wapi fundi wa ISUZU TROOPER | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi fundi wa ISUZU TROOPER

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Mar 14, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi natafuta fundi mzuri wa isuzu.
  Kuna isuzu bighorn inazingua sana.
  Tatizo lake ukiiwasha ikiwa silance engine inavibrate kama ina miss.

  Kama kuna mtu ana contact za fundi mzuri au anaushauri naomba msaada wenu wakuu.
   
Loading...