Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,641
- 3,751
Amepotelea wapi huyu?
Nasikia vijana wa Dar mlikuwa na jambo lenu pale nyumbani kwake. Je ni kweli?
Niwapongeze kwa kwenda msalimia na kunywa chai nyumbani kwake.
Alafu nasikia anakaribia kustaafu huyu. Kama yule hai, tutamalizana naye mtaani baada ya kustaafu kwake.