Aiseee nimepitia hii post yake Jf nimebaki kucheka tu..
View Edit History
Deogratius Nalimi Kisandu
Rais MAGUFULI sio MSUKUMA bali ni MHUTU.
Alitumia jina la kisukuma ili aje kuwa Rais na hakutakiwa kuwa rais ila mwaka 2012 baada ya Deogratius Kisandu kutangaza kugombea Urais akiwa mkoani Tanga, ndipo TISS waliaamua kumuweka Magufuli kwa nguvu ili kumpoteza Bw. Kisandu. IPo siku nitamuinua John Magufuli Orijino.Kesho tatiwa nguvuni na Majeshi hasa Polisi na kufungwa au kutupwa Mahakamani kwa kusema Ukweli. Mkiona sipatikani mjue tayari.