Wapenzi wasikilizaji na wapenzi watazamaji....

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,331
2,000
Hellow
Nimeona niliongelee hili kabla mambo hayajaharibika maana mtaani kushakuwa sheedah!

Hata kama mnasema maisha magumu lakini sio kwa usanii huu jamaaa

Ushawahi kuwa na mpenz ambae ni msikilizaji au mtazamaji au vyote? !

Mpenz msikilizaji:
Huyu huwa yupo buzy kusikiliza matatizo yako lakini hakusaidiii na ushauri hakupi lakini anakuimbia nyimbo za nakupenda nakupenda nina genye, nimekumiss... Ila mambo ya kijamii hakusaidiii, kama ni mwanamke pesa za matumizi hakupi ila anategemea akupe free mbupu

Mpenzi Mtazamaji:
Huyu bwana unaweza lia kabisaa
Yeye kazi yake kukuangalia na wimbo ule ule wa nakupenda lakini hana msaada! Wengine wanapenda Kuwaita manyonya damu wa maisha!

Kati ya hao wawili wewe Ushawahi kuwa na yupi? !

Anaweza akawa rafiki, shoga yako, best friend, beibe, ndugu, mchepuko, workmate, comrade!

Ps:
Nimesikia vilio yenu kuwa mnataka kuonana na mimi Money Penny kufahamiana na kubadilishana mawazo au mawili matatu kabla sijaondoka Tz for good...

Kwa wale waliopo Dar, mnitumie namba zenu za simu inbox /dm nitampa Manager wangu atawa contact,

Manager ameandaa a small workshop ya money penny ambao huko nitakuwa nauza kile ee kitabu changu cha story yangu ya kwaaaanza mnakumbuka ee, inaitwa lemonade! Kwa ambao mmeimiss link hii hapa
Some lemonade for you madame!

kama utapenda tuonane na kubadilishana mawili matatu na kufahamiana karibu sana.

Pia kutakuwa na mgeni mwalikwa anaweza kuwa Waziri au Mbunge au Katibu Mkuu flani au mkuu wa Mkoa au Meya it's a surprise yooow usikuoseee!

Kutakuwa na waandishi mbali mbali wa vitabu vya hadithi mbalimbali kwa ajili ya kufahamiana, I Pray Shigongo atakuwepo oooo!
I pray lara 1 atakuwepo ooo!
I pray Kyalow Ushimen
Mtakuwepo oooo

Asanteni sana kwa support yenu wana JF, Love you all

See you all kwenye stori yangu mpya on 1st July 2017 Story: Money Penny ni nani lakini?!

[MEDIA=dailymotion]x2puchl[/MEDIA]
 

ijooo

JF-Expert Member
May 13, 2017
700
1,000
Its soo hard to date a woman in bongo aisee if she is smart she has problems if she is not smart she is a huge problem.......
 

BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,391
2,000
Unaonekana unafuraia Sana kuwepo duniani, you are real freaking show off,with nothing to tell,...unaonesha existence yako tu,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom