wapenzi wangu...

hehehehheee nachekea uchungu michelle... sie alituita maua ya nini vile??inshallah utampata wako wa milele ambae hatakukimbia my dear..mi inshallah labda nisimuone ntampa maaaaaneno ajute kuzaliwa jf.....

maua ya barabarani.....mimi naanza kufunga kuombea hilo la kupata wangu wa milele kesho.....:wink2:
 
keshafika haondoki tena dr,,,, na wala siondoki kwake.....mi sijakurusha roho si umeniuliza jamani....au wataka nifundisha kujibu uongo???

we mtu mzima majibu mengine yanatutoa udende, kila la kheri ,,,,,,,,,,,,,,,,,,nilijua kuna nafasi nibishe hodo kumbe pamejaa!
 
yule kaka ako yuko wapi????
Kaka ninaye kweli maana hata alipoenda sijui hakuna kuaga wala nini niliamka asubuhi nakuta mlango wazi hadi sasa hivi sijui his whereabouts nilienda kumuangalia kwa Michelle na kwenyewe hayupo sasa sijui yuko wapi najaribu pia kusikiliza matangazo ya vifo labda watataja jina lake lakini wapi
 
michelle nikwambie kitu lakini usikasirike utani tuu tangu nilipokuona nikasema hebu nimchokoze kidogo huyu mtu.....then kila ukinijibu mie nawa nacheka kupita maelezo....sijui kwa nini?? lakini funga usianze kesho hebu jaribu kusubiri pengine akatokea....na yeye hatakuwa ua la barabarani atakuwa ua la msituni...hehehheh
maua ya barabarani.....mimi naanza kufunga kuombea hilo la kupata wangu wa milele kesho.....:wink2:
 
heheheeh labda kapagawa..... sijui ndivyo hilo neno yaani (kapata kichaa..):A S 13::A S 13:lakin inshallah kheyr...
Kaka ninaye kweli maana hata alipoenda sijui hakuna kuaga wala nini niliamka asubuhi nakuta mlango wazi hadi sasa hivi sijui his whereabouts nilienda kumuangalia kwa Michelle na kwenyewe hayupo sasa sijui yuko wapi najaribu pia kusikiliza matangazo ya vifo labda watataja jina lake lakini wapi
 
Kaka ninaye kweli maana hata alipoenda sijui hakuna kuaga wala nini niliamka asubuhi nakuta mlango wazi hadi sasa hivi sijui his whereabouts nilienda kumuangalia kwa Michelle na kwenyewe hayupo sasa sijui yuko wapi najaribu pia kusikiliza matangazo ya vifo labda watataja jina lake lakini wapi

matangazo nasikiliza sijasikia hadi leo....hivi Hashy anajisikiaje kuniacha kwenye mazingira haya? sielewi yuko hai au kafa? kazi kweli kweli.
 
michelle nikwambie kitu lakini usikasirike utani tuu tangu nilipokuona nikasema hebu nimchokoze kidogo huyu mtu.....then kila ukinijibu mie nawa nacheka kupita maelezo....sijui kwa nini?? lakini funga usianze kesho hebu jaribu kusubiri pengine akatokea....na yeye hatakuwa ua la barabarani atakuwa ua la msituni...hehehheh

ni furaha yangu ukicheka ni huzuni yangu ukihuzunika....nimefurahi kusikia unafurahi nami hukujibu ili ufurahi tuuuuu....hatuko Jf kuchukizana au sio my dear??
 
hajakufa bwana yupo inshallah endelea kusubiri atatokea....okay??
matangazo nasikiliza sijasikia hadi leo....hivi Hashy anajisikiaje kuniacha kwenye mazingira haya? sielewi yuko hai au kafa? kazi kweli kweli.
 
a aah mi sina nijualo kuhusu yeye wallah... mi najitahid kukupa moyo tuu my dear.., nijue then nisikwambie....haaa??? ntakuwa si binaadam tena... inshallaw atatokezea...
umejuaje hajafa? kuna unalolijua....huniambii....nikirudi naomba uniambie....!!!
 
matangazo nasikiliza sijasikia hadi leo....hivi Hashy anajisikiaje kuniacha kwenye mazingira haya? sielewi yuko hai au kafa? kazi kweli kweli.
Nimeenda kote uwanja wa fisi, tandale, manzese midizini ndizo sehemu anazopenda kutembelea lakini wapi sijamuona, itabidi tumfunge ile system ya CAR TRACK siku akirudi
 
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S%20465.gif
true love never die
 
Back
Top Bottom