lumia21 JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 274 Reaction score 259 Jan 28, 2017 #1 Hii tamthilia nimetokea anza iangalia.. Mwaka huu.. Ila ni moja kati ya Tamthilia bora kwangu Kwanza Comedy za bwana Frank Gallagher ni Noma Debbie, Carly ni noma Kwa wadau ambao ni wapenz wa hii tamthilia karbu Share nasi nan una mkubali sana kwa hii tamthilia..
Hii tamthilia nimetokea anza iangalia.. Mwaka huu.. Ila ni moja kati ya Tamthilia bora kwangu Kwanza Comedy za bwana Frank Gallagher ni Noma Debbie, Carly ni noma Kwa wadau ambao ni wapenz wa hii tamthilia karbu Share nasi nan una mkubali sana kwa hii tamthilia..
P payton JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 438 Reaction score 283 Jan 29, 2017 #2 Shameless my favorite comedian series Nampenda Lip na Debbie
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,981 Reaction score 6,251 Jan 29, 2017 #3 Kuna character inaitwa Lip naielewa sana. Hii niliiangalia mwaka 2013....
lumia21 JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 274 Reaction score 259 Jan 29, 2017 Thread starter #4 Je mwajua kuwa mickey na Ian sio mashoga in reality!??
lumia21 JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 274 Reaction score 259 Jan 29, 2017 Thread starter #5