Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Majola anamsisitiza eddie asimuache lincoln atoke nje ya nchi maana hatarudi,eddie hamuamin majola na kutaka ripoti kamili,jamaa baada ya kumshawish sana eddie anaanza kuaminika hivyo majola anaaga kurud kituon kwake kumalizia uchunguzi zaidi

Angie anamlaumu baba yake kwa yaliyomtokea dannie,ila baba mtu anajitetea alikua na madeni lukuki hivyo waden walipogundua dannie ni model anaesafiri international wakaamua kuweka dili na mzee Conrad la dannie asafirishe madawa ila asamehewe madeni(mzee kajisababishia madeni sababu ya gambling)

Lerato anajaribu kuchunguza mabaki yaliyopatikana SG kupitia matlala ambaye kaenda salun kwa lerato kupata mkopo ili amlipe gabriel.matlala hafaham kitu

Calvin anamtembelea dannie jela,bidada anampa news kuwa wenzie hawafaham kama aliwasaliti na pia anaonekana shjjaa kwa kutoroka. Calvin hana raha anamwambia dannie ameamua kukaa mbali na kesi yake au familia yake(dannie) kwa ujumla(nadhan maneno ya angie yalimuumiza sana calvin)

Eddie anamtafuta tyson UN kwa simu na kuambiwa yupo south africa kisha kupewa namba yake ya south,anapowasiliana na tyson wanaweka appointment ya kuonana huku eddie akigusia kuwa matokea yametoka ila sio yote

Tyson anapata ahuen na kuona mwisho wa linc umekaribia

Zukisa akiwa kanisan,gabriel anatokea na kumnanga kwa kutumia vifungu vya biblia akitaka kufaham mwenye pesa zake mpaka zukisa anakasirika na kusema pesa wanazo wao

Angie anampeleka baba yake salun kwa akina lerato,katika maongez na utan wa hapa na pale baba mtu anamwaga ubuyu kuwa utoton angie alikua wa kawaida sana,akili alizonazo kazipatia darasani tu. Angie anatabasamu kumne moyon imemchoma

Eddie anaonana na tyson na kumwonyesha majibu ambayo aliletewa na majola,tyson anamtaka eddie amkamate lincoln ila eddie anasema ushahidi haujajitosheleza kufikia kumkamata linc

Barker anamtaka brad amsimamie jody maana jody kagoma kuondoka,anataka kujifunza biashara ya hapo

Baada ya kurud home angie anamshutumu baba yake kwa kuongelea mambo ya maisha yake ya utotoni na kumwambia hakumsaidia kwa lolote,katika majibizano baba mtu anasema akimaliza kutoa ushahidi mahakamani ataondoka hapo kwa angie

Linc akiwa kwenye kikao na nikiwe na gabriel mara eddie anaingia na kutaka kuongea na linc ila linc anamtaka eddie aongee na nikiwe maana yeye(linc) anatakiwa kusafiri siku hiyo hivyo atachelewa ndege.eddie anamwambia matokeo yameonyesha mifupa ni ya katlego hivyo linc hana ruhusa ya kusafiri
 
Tena Eddie kamwaga mchele mbele ya Gabriel! Heheheee kipele kimepata mkunaji[emoji108] halafu Zukisa nae ina maana kashindwa kutunza siri kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimetazama isindigo season 20 epsode ya 57 nikaona lincolin ashafungwa, rajesh yuko kwenye mahusiano na aliyekuwa mke wa shemeji wa lincolin kaka yake katlego.
Angelique naona yuko lawyer sana kwa nina na nina ni board member wa SG, lincoln ameuza share zake kwa Benjamin yule aliyekuwa mmiliki wa ON TV kimya kimya bila kumwambia nikiwe.
Yani mambo mengi yamevadirika.
Nikiwe karudiana na Gabriel na wanaishi panoja pale penthouse.
 
Duuu Nikiwe na Gabriel au na Skhu?
 
Duuh isidingo the need ipo moto daima
Leo nimetazama isindigo season 20 epsode ya 57 nikaona lincolin ashafungwa, rajesh yuko kwenye mahusiano na aliyekuwa mke wa shemeji wa lincolin kaka yake katlego.
Angelique naona yuko lawyer sana kwa nina na nina ni board member wa SG, lincoln ameuza share zake kwa Benjamin yule aliyekuwa mmiliki wa ON TV kimya kimya bila kumwambia nikiwe.
Yani mambo mengi yamevadirika.
Nikiwe karudiana na Gabriel na wanaishi panoja pale penthouse.
 
Lincoln anamwambia nikiwe kuwa alikua na wasi wasi huenda eddie alikuja kumkamata ila niki akampa matumain kwamba bado wapo kwenye uchunguz hivyo kumfikia bado sana. Linc anamtaka nikiwe akamchunguze eddie amefikia hatua gani ya uchunguzi wake. Niki anakasirika sana kwa baba yake kutaka kumtumia kama ndoano ya kunasia habari za uchunguz wa kipolisi

Gabriel anaenda home kwa sechaba na kugonga mlango kwa fujo baada ya kufunguliwa anaingia kwa mbwembwe na vitisho tele akimtaka lerato amrudishie hela yake ila lerato anakataa na kusema pesa anazo aliyemwambia hizo habari. Sechaba anamtaka gabr aondoke hapo home. Gabr anaondoka huku akiacha vitisho.

Calvin anamwaga angie na kutaka kuondoka ,angie anamuuliza kama ataenda kwenye kesi ya dannie,calvina anasema hausiki. Angie anagundua kosa lake na kuomba msamaha na kumtaka calvin wawe pamoja mahakaman,calvin anakubali na kwenda kwenye mishen zake kwa ahad atawakuta mahakaman

Matlala anaenda salun kwa lerato kurudisha pesa alizokopa hapo maana gabriel kamsamehe deni lote,lerato anagoma kupokea pesa maana hazina riba na kumtaka matlala amletee pesa na riba yake

Majola anamletea eddie full repoti jambo linalomfurahisha eddie na kuanza kupanga miakakati na majola ya kumkamata mtuhumiwa wa mauaji hayo

Tyson anamwambia mkewe kuwa kaitwa na eddie ili akapime DNA walinganishe na ya katlego ili wawe na uhakika zaidi.

Matlala anampa morogwa chakula ila bidada anakohoa sana na kumwambia matlala anataka kurudi kazin,matlala anasema papa g hawez kukubali na kumuuliza morogwa ishu yake na Gabriel aliyotaka kumwambia ila bidada hajibu na kuzid kukohoa jambo linalompa wasiwasi matlala

Angie anawaweka sawa dannie na mzee Conrad kwa hatua za mwisho kujipanga ili kuweza kumtoa dannie jela. Angie hamuamin baba yake na kjmtaka amfikirie dannie na kumsaidia

Tyson na mkewe wanaenda kituon polis kisha eddie anamkabidhi tyson vitu vya katlego aangalie,tyson anapoviangalia anapatwa na huzun na kuapa kuhakikisha linc anapoteza kila alichonacho

Matlala akiwa ofisin kwake mara wanaingia wale wachimbaji waliosalitiwa na gabriel,jamaa wanadhan matlala ndie aliyewachongea kwa polis,wanamwonyeshea kisu,matlala anajitetea huku akishangaa maana hajui chochote

Matlala anamfata gabriel duncan na kumtaka aache kuweka maisha yake(matlala) rehan,sababu ya vitisho vya wale wachimbaji. Na kumwonya gabr kuwa akidondoka(matlala) wataenda wote chini.

Mahakaman,dannie anajitetea vizuri ila ilipofika zamu ya mzee conrad anabadilisha maelezo jambo linalowashangaza dannie,angie,calvin na mtetez wa dannie. Mzee anasingizia dannie alibebeshwa madawa na mwanaume wake. Mara dannie alikua na kesi za jabu ajabu sababu ya huyo kijana,angie anakasirika

Gabriel anaenda the rec kuonana na zukisa na lerato,wakiwa mezan huku sechaba kaka kaunta,gabriel anaanza kudai pesa zake ila lerato anasema hawana,wameshafanyia biashara na hawatarudisha maana ni kama zawadi ya Christmas,hivyo gabr ahesabu katoa zawadi ila gabr anasema dec bado hapo ni november na kuwatolea maneno ya ukali,sechaba anaingilia kati na kumtisha gabriel kuwa aache kuwafata fata la sivyo atamuumbua
 
Lincoln anamwambia nikiwe kuwa alikua na wasi wasi huenda eddie alikuja kumkamata ila niki akampa matumain kwamba bado wapo kwenye uchunguz hivyo kumfikia bado sana. Linc anamtaka nikiwe akamchunguze eddie amefikia hatua gani ya uchunguzi wake. Niki anakasirika sana kwa baba yake kutaka kumtumia kama ndoano ya kunasia habari za uchunguz wa kipolisi

Gabriel anaenda home kwa swchaba na kugonga mlango kwa fujo baada ya kufunguliwa anaingia kwa mbwembwe na vitisho tele akimtaka lerato amrudishie hela yake ila lerato anakataa na kusema pesa anazo aliyemwambia hizo habari. Sechaba anamtaka gabr aondoke hapo home. Gabr anaondoka huku akiacha vitisho.

Calvin anamwaga angie na kutaka kuondoka ,angie anamuuliza kama ataenda kwenye kesi ya dannie,calvina anasema hausiki. Angie anagundua kosa lake na kuomba msamaha na kumtaka calvin wawe pamoja mahakaman,calvin anakubali na kwenda kwenye mishen zake kwa ahad atawakuta mahakaman

Majola anamletea eddie full repoti jambo linalomfurahisha eddie na kuanza kupanga miakakati na majola ya kumkamata mtuhumiwa wa mauaji hayo

Tyson anamwambia mkewe kuwa kaitwa na eddie ili akapime DNA walinganishe na ya katlego ili wawe na uhakika zaidi.

Matlala anampa morogwa chakula ila bidada anakohoa sana na kumwambia matlala anataka kurudi kazin,matlala anasema papa g hawez kukubali na kumuuliza morogwa ishu yake na Gabriel aliyotaka kumwambia ila bidada hajibu na kuzid kukohoa jambo linalompa wasiwasi matlala

Itaendelea
Itabid nisucribe Uzi niwe nasoma tu maana sipat mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zuki mm sipendi tabia zake anang'ata na kupuliza! Watu kama yule sio wa kufanya nae deal kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Zuki dini imeteka akili yake kwa kiasi kikubwa anahofu ya Mungu iliyopitiliza...watu wa aina yake ukitumia dini yake wakati wa mahojiano ni rahisi kutoa siri zao...hivyo hapa pana kitu k kikubwa cha kujifunza katika Jamii.

Jambo la kushangaza bado anamuamini fakepastor gab.

Lakini ndio utamu wa 'The need"
 
iv we unamjua Gabriel kwe dini au unamskia ashakums matusi
Pastor G ni nyoko. anaakili sana
kwa upande wa seduction tuu nampa mia af anaonekanaga innocent yaniiiiii
 
Back
Top Bottom