Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Kama wew n mpenzi wa taarab unatafuta wimbo au story zote za wasanii basi hapa ndo jamvini kwa waswahili haswaa karibuni
Naam nimekaribia.Pana wimbo shairi lake linasema
Na wala si hoja wengi kuwa nao
WIMBO UNAITWAJE?
Kwenye hiyo albamu kuna wimbo naupenda "nilidhani mimi chanda na wewe ni pete yangu nikawa ninakupenda kudhani ni mwenzangu...sikujua nimefuga nunda lililowashinda wenzangu....ama kweli mzazi wako alokuzaa kala hasara...."Naomba mwenye album ya TOT inaitwa Y2K, anisaidie
Yeah mi napenda karibu zote za kwenye hiyo albumKwenye hiyo albamu kuna wimbo naupenda "nilidhani mimi chanda na wewe ni pete yangu nikawa ninakupenda kudhani ni mwenzangu...sikujua nimefuga nunda lililowashinda wenzangu....ama kweli mzazi wako alokuzaa kala hasara...."