Wapenzi wa simba tusimtukane kaseja

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
Jana baada ya mechi ya simba na azam nilishuhudia baadhi ya wapenzi wa simba wakimtupia maneno ya kashifa goli kipa namba moja juma k. Juma kwamba amecheza chini ya kiwango ama ameuza mechi.

Kitendo hicho hakikua cha kiungwana japo kaseja alikua muungwana kwa kukubali kila aina ya neno baya alilopewa.

Kiubinaadamu mwili wa binaadamu yeyote unahitaji kupata mapumziko, hivyo nashauri benchi la ufundi limpumzishe kaseja na acheze baadhi ya mechi kwani ametumika sana toka challenge hadi mto nile.

Pole sana kaseja na wapenzi tuwe na subira kwa kipa wetu ameshatufanyia mengi mazuri
 
Mbona umechelewa, wenzako wamlishaporomosha matusi tangu jana pale uwanja wa Uhuru
 
Hiyo ndio bongo,ukialibu tu lawama zinakurudia,mara nyingi wanaangalia mabaya tu,mazuri awasemi.
 
hakuna cha soka la bongo wala nini......KASEJA ANABAKI KUWA GOLIKIPA BORA....na pia bado anabaki kuwa golikipa bora kwa KUHONGEKA NA SI MZALENDO (pesa mbele)
NADHANI SASA TUTAMWELEWA MAXIMO KATIKA HILI
 
Wew yeye yooooooooooooooote pambafuuuuuuu kaseja iko kula hela ya bakheresa nani pana iko jua wewe??ama wewe iko pata gao acha bana wewe tumbo iko sema siku moja
 
Wew yeye yooooooooooooooote pambafuuuuuuu kaseja iko kula hela ya bakheresa nani pana iko jua wewe??ama wewe iko pata gao acha bana wewe tumbo iko sema siku moja
Bona veve natukana menjio, seja kuna na njaa... nakula nashiba ha ha haaaa, kanjibai kiboko!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom