Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,961
Reaction score
80,192
Wale wenzangu ambao kila upatapo muda unakimbilia section ya reality TV shows pita hapa.

TV shows zangu mara nyingi naangalizia Netflix, DSTV[app] na Showmax.

My favorite so far:
1. Young, famous & African -hii tupo season ya tatu sasa.
2. Temptation island
3. Too hot to handle
4. Forever maybe
5. Makoti - are you the one?
6. Pastor wants a wife!
7. Love Island
 
Love is blind, sijaiangalia though
Kuna mtu kanisifia plus hio too hot to handle. Nataka nizicheki nishaweka kwenye list
 
8. The ultimatum-za nchi zote nzuri saana.

Napenda reality shows kwasababu unajifunza walau maisha halisi ya watu.
 
Love is blind, sijaiangalia though
Kuna mtu kanisifia plus hio too hot to handle. Nataka nizicheki nishaweka kwenye list
Nimeangalia ya Marekani na Sweden....ni nzuri saana.

Sasa hivi naangalia too hot to handle. Ni nzuri saana. Hii inakutanisha mataifa yote pamoja. Nipo season 3.

Ukishaanza kuangalia reality hutataka kurudia movies.
 
Yoh chill out sir, we don't pop up around here.
I am at absolute zero right now.

Chilling any further is against the laws of physics and could cause a rupture in the Calabi-Yau manifold of spacetime in a singularity explosion that will result in a branching off of this universe into a baby universe.

You do not want that.
 
Yoh chill out sir, we don't pop up around here.
Kuna jamaa namuona youtube anatoa utofauti wa maisha ya marekani na nchi zingine... marekani kukimbizana kweli kweli.... hata hizo leave days ni za kuokoteza.

Watu wakikuambia hawana muda usishangae.

Hii haihusiani na Kiranga kutokupata muda.
 
Suala si muda.

I watch movies ningekuwa sina muda nisingeangalia movies.

Reality TV just bores me.

I think I feel that the notion that a scripted show is trying to front as reality TV insults my intelligence.

Afadhali movies najua kabisa this is fiction.

And most reality show suck. They are just a cheaper time filler for the media to fill time without producing expensive good scripted TV shows.
 
Suala si muda.

I watch movies ningekuwa sina muda nisingeangakia movies.

Reality TV just bores me.

I think I feel that the notion that a scripted show is trying to front as reality TV insults my intelligence.

Afadhali movies najua kabisa this is fiction.
I somehow agree with you that many reality shows are far from the so called real. Most are heavily scripted and staged to boost drama and keep us hooked.
It’s entertainment, but not always an honest reflection of real life.

But still I prefer them over movies.....
 
Back
Top Bottom