Wapenzi wa push-ups & squats

Hili silo swali mkuu. Kiufupi hujakutana na watu wa mazoezi, 100 push ups, round 50 set tofautitofauti kwa kila round unaona nyingi sana ?? Una muda gani kuanzia umeanza kufanya mazoezi ?

Una uwezo wa kupiga push ups 100 kwa round moja tu non stop??

Beginner, intermediate, Advanced.
ukisema set tofauti tofauti unamaanisha katika hizo set Kuna nyingine utaenda 100, nyingine 50, nyingine 70 hadi zitimie 5000 si ndio!?
 
ukisema set tofauti tofauti unamaanisha katika hizo set Kuna nyingine utaenda 100, nyingine 50, nyingine 70 hadi zitimie 5000 si ndio!?
Huu hapa mfano halisi

One arm push ups (push ups za mkono mmoja). Hapa utapiga 50 mkono wa kulia, then 50 mkono wa kushoto.

Military push ups, hizi unaweza enda 150 one round

Archer push ups, pia hizi unaweza enda 100 one round

Wide hand push ups, hizi unaweza fika hata 150 one round

Hindu push ups hizi unapiga 100 one round

Diamond push ups hizi zinategemea unaweza enda 50 once ukatulia kisha ukamalizia 50 au kama mzoefu una unganisha zote 100 one round

Hapo nimeweka aina chache tu za push ups, ukiweka aina zote 14 za push ups au zaidi mzunguko mmoja ukimaliza unaweza ona utakuwa umepiga push ups ngapi.

Pia wakati unapiga hizo push ups unachanganya kidogo na mazoezi ya viungo ule muda ambao unapumzika kurudia round nyingingine au aina nyingine ya push up.

Ukizoea inakuwa tabia.
 
Nakumbuka wakati niko skonga nilikua mtu wa misala na siku nikitaitishwa adhabu ilikua ni uncounted sticks na kupiga pushups 30 halafu ni mtupu yani nikipiga kumi ulimi wote nje

Basi nikawa natoka darasani naenda chimbo na wanangu kila siku nikawa na-force nalala 20 kwa muda wa mwezi nikawa naweza kupiga 70 bila kupumzika
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁!
 
Huu hapa mfano halisi

One arm push ups (push ups za mkono mmoja). Hapa utapiga 50 mkono wa kulia, then 50 mkono wa kushoto.

Military push ups, hizi unaweza enda 150 one round

Archer push ups, pia hizi unaweza enda 100 one round

Wide hand push ups, hizi unaweza fika hata 150 one round

Hindu push ups hizi unapiga 100 one round

Diamond push ups hizi zinategemea unaweza enda 50 once ukatulia kisha ukamalizia 50 au kama mzoefu una unganisha zote 100 one round

Hapo nimeweka aina chache tu za push ups, ukiweka aina zote 14 za push ups au zaidi mzunguko mmoja ukimaliza unaweza ona utakuwa umepiga push ups ngapi.

Pia wakati unapiga hizo push ups unachanganya kidogo na mazoezi ya viungo ule muda ambao unapumzika kurudia round nyingingine au aina nyingine ya push up.

Ukizoea inakuwa tabia.

unapumzika mda gani baada yakupiga round moja?
 
unapumzika mda gani baada yakupiga round moja?
Baada ya round moja nyoosha viungo kwa kufanya simple stretching za mikono, mbavu na miguu kisha unaendelea na round nyingine. Specific time huwa inategemea muda wa stretching ila mara nyingi siyo zaidi ya dakika 5 kisha unaingia round nyingine.

Lengo la stretching ni kulegeza kidogo muscles maana zinakakamaa hivyo ukipumzika tu bila kuziweka sawa kwanza unaweza sababisha madhara mengine kwa mikono na baadhi ya maeneo.

Pia usisahau ku balance sehemu za chini yaani kuanzia kiunoni kwenda chini, wakati unaenda hizo push ups ongezea squats kadhaa wakati ukisubiri round nyingine pia.
 
Kwa wiki hii Nimefanikiwa kupiga squats 300 nikiwa nimebeba chuma, na crunches 600, push ups 150, nimetembea jumla ya dk 360 kwa wikii....nimetembea dk 120 kwa siku 3
 
Push ups 2000
Kurusha ngumi 1000
Kukimbia 20 Kilometers per 1.5HRS
Squats zoezi Dogo mno ( Umri 40+)

Sometimes kukimbia na mzigo wa 10 KGs Mkononi/Mgongoni 24 Kilometers per 2HRS
Chakula kizuri & fruits hasa zenye maji maji eg Watermelon etc
Kunywa Maji masafi 6Litres per Day.
Tulia sikiliza music au watch a Movie

Utayari muda wote kwa lolote .
Hapa unakuwa commando kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipepiga push ups 50, leg raises 50, bicycle crunches 100, abnormal crunches 100, cross over crunches 100, V shape crunches 100 na kuruka kamba mara 2500, mwili upo poa!
 
Zoezi langu leo- push ups 100, aquarts 300, jump jacks 1000,crunches 600
 
Katika mazoezi kuna Beginner, Intermediate na Advanced.

Hivyo ukipinga kile anachokieleza mtu elewa upo below level yake.

Wanaodai push ups hazikati kifua siyo kweli. 2011 mpaka 2014 nilikuwa naishi kwa staili ya mazoezi, kula, kusoma hiyo ndiyo ilikuwa lifestyle na nilikuwa napiga push ups tu, kwa siku nilikuwa nafanya mazoezi mara mbili kwa siku asubuhi kuanzia saa tisa hadi saa 12 asubuhi najiandaa naenda shule then saa tisa jioni hadi saa mbili usiku naingia tena mazoezi. Na yalikuwa mazoezi makali ikiwemo sets tofauti za push ups, kata za kung fu (eagle, drunken, snake, Bhaghuazang, Tai quan n.k), nilikuwa na mwili imara sana shape moja hatari, shule wengi tuliosoma nao na hata waalimu walikuwa wakinichukulia tofauti sana kutokana na muonekano.

Push ups kulikuwa hakuna kuhesabu ni unatumia muda, kama kupiga push ups lisaa na nusu au lisaa limoja upo unaenda chini na kurudi, kila set na dakika zake, hakuna kuhesabu.

Squats na mazoezi pia hivyo hivyo, kiufupi kuhesabu tuliona kama tunajipunja sana hivyo kila zoezi linafanyika kwa muda maalum.

Mtu kupiga push ups 10,000 ni jambo kawaida kabisa wala siwezi shangaa.

Maisha yalibadilika baada ya kuanzia kujitegemea sasa, hapo kabla ya kwenda mazoezi lazima ujiulize utakula nini ukitoka huko, ukiona hamna kitu unatulia au unapiga mazoezi ya kawaida tu kuepuka kutojisikia vibaya maana ukizoea mazoezi ukiacha siku moja tu lazima hali iwe mbaya.

Kwasasa bado tupo japo mazoezi siyo kama miaka hiyo kutokana na majukumu ila lazima tutarejea enzi zetu wacha tutafute pesa. Ule wepesi wa kuruka na kuama kwenye matawi ya miti lazima urejee.

Beginners, Intermediates, Advanced.

Kila mmoja ana level yake.
Mkuu kwa sasa unapiga ngapi?
 
Mhusika yupo anaweza kutoa ufafanuzi. Upangaji wa sets, aina na idadi za push ups kwa kila set inategemea mhusika.

Push ups 100, round 50, ni push ups 5000. Asubuhi na jioni unakamilisha 10,000.

Kumbuka siyo aina moja tu ya push ups unazopiga, kila aina ya push ups unajiewekea idadi na round zake.

Kiujumla mtu kupiga push ups 10,000 kwangu mimi naona ni jambo la kawaida kabisa.
Mkuu ndg yako kasema yeye anatumia dakika 50-55 kupiga push-ups 10,000
.
.
Hii ina maana ya kuwa
10,000/50= 200
200/60= 3.333
*( yaani anatumia dk 1 kupiga push- ups 200
Hiyo ni sawa na push-ups 3.333 kwa sekunde moja)*
.
Je, uhalisia wake uko wapi hapa hususani katika suala la push-ups/muda?
.
Je, wewe unaweza kupiga push-ups 3 ndani ya sekunde 1?

Hebu tupe majibu ya hayo maswali mawili kwanza
NB: Hapo hatujaweka muda wa kupumzika baada ya raundi moja kwenda nyingine

Beginner, intermediate, advanced
 
Mkuu suala la muda hapo siwezi lizungumzia, binafsi nimeweka maelezo ya muda katika moja ya comment yangu hapo juu. 3 push ups kwa 1 second haiwezekani, labda uwe unacheza na siyo kupiga push up
 
Mkuu kwa sasa unapiga ngapi?
Kwasasa mkuu sina idadi constant, ila inategemea na siku. Sometimes 1000 na pia baadhi ya siku 1500 au chini ya hapo.

Kipindi hicho tulikuwa tunalelewa hivyo shule na mazoezi ndiyo ilikuwa kazi. Masuala ya nitalipaje kodi na familia itaishi vipi hayakuwepo na majukumu mengine kimaisha hayakuwepo.

Ila mazoezi bado napiga japo kiwango kimeshuka.
 
Push up kuna aina zake za kupiga, na kila upigaji wake ina maana yake na matokeo yake kwa mpigaji,na siyo lazima upige nyingi,unaweza kupiga chache kwa kila aina tofauti za push up ukashaangaa umepiga zaidi ya mia nne au 500 ndani ya dakika 20 mpaka 30.

Mimi nafanya gym ila nilikuwa mvivu sana wa push up.ila kwa sasa kwa siku nafuta push up 10000 kwa dk 50 mpaka 55.

Na wafanya mazoezi msisahau mazoezi ya tumbo.nayo ni muhimu sana ukitaka kuonekana mfanya mazoezi lazima ujenge tumbo.
Push ups 10,000 sio 😂😂😂 Kweli Bongo bahati mbaya
 
Huu hapa mfano halisi

One arm push ups (push ups za mkono mmoja). Hapa utapiga 50 mkono wa kulia, then 50 mkono wa kushoto.

Military push ups, hizi unaweza enda 150 one round

Archer push ups, pia hizi unaweza enda 100 one round

Wide hand push ups, hizi unaweza fika hata 150 one round

Hindu push ups hizi unapiga 100 one round

Diamond push ups hizi zinategemea unaweza enda 50 once ukatulia kisha ukamalizia 50 au kama mzoefu una unganisha zote 100 one round

Hapo nimeweka aina chache tu za push ups, ukiweka aina zote 14 za push ups au zaidi mzunguko mmoja ukimaliza unaweza ona utakuwa umepiga push ups ngapi.

Pia wakati unapiga hizo push ups unachanganya kidogo na mazoezi ya viungo ule muda ambao unapumzika kurudia round nyingingine au aina nyingine ya push up.

Ukizoea inakuwa tabia.
Ebu fafanua vizuri, huu ni mfano au umeelezea kile ambacho wewe unakifanya?
 
Back
Top Bottom