Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapenzi wa perfume tukutane hapa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by oriflametz, Jul 31, 2016.

 1. o

  oriflametz Member

  #1
  Jul 31, 2016
  Joined: May 31, 2016
  Messages: 13
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  Perfumes nzuri za kike na kiume ambazo zimewekwa kwenye seti maalum yenye kila kitu yaani sabuni, lotion, poda, aftershave balm kwa wanaume, perfume na spray. Ni nzuri kwani zinakupa harufu moja mwili mzima, sabuni yenye harufu sawa na lotion sawa na perfume yake. Ni nzuri kwa matumizi binafsi au kwa zawadi. Zinapatkana jumla 25000 kuanzia piece 10 na rejareja 28000.

  Contact 0652140160,
  Mikoani tunatuma.
  1469945182199.jpg 1469945190823.jpg 1469945201969.jpg 1469945211449.jpg 1469945220671.jpg 1469945230570.jpg 1469945238831.jpg
   
 2. Super women 2

  Super women 2 Member

  #21
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 16, 2016
  Messages: 85
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 25
  Inauzwa sh:ngapi shansarie nikaitafute
   
 3. shansarie

  shansarie JF-Expert Member

  #22
  Jan 11, 2017
  Joined: May 25, 2013
  Messages: 5,675
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Kwa huku nilipo inauzwa $20 au Georgia amani si $30 ni nzuri sana wala hupulizi nyungi.
   
 4. C

  CRUZZ DA SANTOS New Member

  #23
  Jan 15, 2017 at 3:28 PM
  Joined: Jan 13, 2017
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  weka na picha bas mkuu maaana kuna org na feki
   
Loading...