MrcNiceGuy
Member
- Jul 3, 2009
- 25
- 23
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili, tukutane huku kwenye hii website ya nyimbozainjili
bado matengenezo yanaendelea, hususani muonekano, lakini unaweza kusikiliza Gospel.
Injili lazima isonge mbele.
Isiishie tu kusikilizisha gospel music bali kuzisaka zote zilizovuma tangu enzi na enzi ili kuwa na hazina ya kutosha
Yes mkuu, Database itakuwa kubwa sana.
Deo Shujaa -Unanipenda Baba | Nyimbo Za InjiliKwaya ya Sauti ya Jangwani toka Shinyanga na aina yao ya kipekee ala za muziki kama magitaa kuongoza waimbaji na kutokana na hivyo kuwa inajibainisha miongoni mwa kwaya nyingi zolizopo kwa uimbaji wao :
KKKT vijana Makongorosi chunyaNaomba usikose zifuatazo
- St James Arusha - Anglican (kuna kwaya mbili mle kanisani)
- Kwaya Kuu Arusha - KKKT
- Kwaya ya Vijana ya Uinjilisti Arusha - KKKT
- Huduma Upendo Dodoma (sina hakika na jina lao) - Anglican
- Makongoro - AIC (sina uhakika na jina)
- Kwaya ya Vijana Forest Mbeya - KKKT
- Kana Tanga
- Wapenzi wengine wa gospel music za zamani watajazia
KKKT vijana Makongorosi chunya
AICT vijana Chang'ombe
Majasusi Moshi
Kwaya ya KKKT patandi
Kwaya ya vijana KKKT mabibo
Upendo Choir KKKT Shy
Usimsahau Faustin Munisi