Wapenzi wa Netflix tukutane humu

Wapenzi wa Netflix tukutane humu

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,576
Reaction score
12,371
Habari wakuu

Kwa wale tunaopenda kutumia Netflix tupeane uzoefu katika kuangalia Series na Movies katika App Hii.
Binafsi nimeangalia Series nyingi toka Sekondari kuanzia Prison Break.

Lakini hii Series ya BLACK MIRROR ni balaaa.

Episodes zote kali lakini hii ya WHITE BEAR Season 2 Episode 2 ni balaaa

Inaonyesha madhara ya kutumia Social Media vibaya na pale jamii inapokupa adhabu ya ki social media.

Kwa Movies ni EXTRACTION

Kama kuna Series au Movies ipo Netflix imekukosha itaje hapo chini.
 
Netflixing..
Screenshot_20230706-190318_Netflix.jpg
 
Back
Top Bottom