Wapenzi wa ndondi, matokeo yalikuaje Taifa?

bobtony

Member
Jun 28, 2015
44
37
Wakubwa wapenzi wa ndondi, jana matokeo yalikuaje uwanja wa Taifa, hasa gemu Kati ya Maugo Vs Dulla Mbabe. Nasibu Ramadhani Vs Francis Miyeyusho, Cosmas Cheka Vs Mudi Matumla.
 
Ngumi za bongo wanapanga matokeo kwa hiyo siku hizi watu hawaendi tena, maana ni kupoteza hela
 
Back
Top Bottom