Wapenzi wa mieleka

Wapenzi wa mieleka

Mbilikimo Mfupi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
985
Reaction score
1,241
Habari ya leo,

Humu ndani kuna mada mbalimbali za mipira, siasa, mapenzi, utani na nk. Bahati mbaya sisi wapenzi wa mieleka kutoka kona za dunia hii hatuna jukwaa letu.

Naomba tukutane hapa kupeana maujuzi na vimbwanga vya wababe unaowafahamu.
 
Back
Top Bottom