Wapenzi wa kichaga njooni muone

Kwa 2nao2mia simu thread zenye picha ndigo kama hizi inakua ngumu sana kuona ......
POPOBAWA.
 
Kwa 2nao2mia simu thread zenye picha ndigo kama hizi inakua ngumu sana kuona ......
POPOBAWA.
 
Imekaa vizuri, Uzuri ni kwamba pesa ya wachagga haitoki kwa wachawi inatoka kwa Mungu. Nimeipenda
 
Wachaga kwa ujamaa,hadi sredi upupu wanashabikia tu.
 
Ha ha ha haaaaa!! Hawa kweli wamepinda yaani wanapenda pesa hadi wanamchimba biti Mungu.
 
Hahahahhagahaaaa hahaha,ehhehhheeeee1
Asante mamito kwa kunivunja mbavu,
Ashukuriwe mungu kwa kunifanya nikazaliwa mchaga lol!
 
Smile wewe ni mtoto mdogo,
haya mambo makubwa uliyajuaje hata mimi mama sikuwahi kuyajua,
kumbe wewe ni mbunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…