DJ JD.Muasisi alikuwa DJ- Jay dee!!!
Mtaalamu wa mtaa wa mangoma siku za jmoc na alhamic love story kuanzia saa nne usiku!! Ebwanaee kitambo sana miaka ya 1998!!!!
Cool and the gang, comodoro....
Girl I'm gonna miss you - hii kituRide on time - Black box
Girl i'm gonna miss you - Nilli Vanilli
Careless Whisper - George Michael (R.I.P)
Who is that girl - Nu shooz
Candy girl - New edition
Time after time - Cyndi Lauper
Black box nae alikuwa mkali sana, kuna ngoma yake ya RIDE ON, basi tulikuwa tunalanda na bit zake na kuimba....I don’t know anybody else- black box
Everybody everybody- black box
Love come down- evelyn king
Whats love got to with it - Tinna Turner
Simply the best - Tinna Turner
Yeeah! Pia wana ngoma yao kali sana "She is fresh"Aloo cool n the ganga
Hivi ndo wale
Ceeee3eelebraity goood time common!!
Dah! Enzi za O level, mambo ya blues, na ndo debe la mwisho, unafikiri utakavyommiss kweli baada ya pepa kwa sababu no phone, no fb no whatsapp, only P.O.BOX...Girl I'm gonna miss you - hii kitu
Imenikumbusha mambo flan hv ndani ya S'wanga....daaah!!! Hataree sana aisee.. Yaani, kitu flan lazima kifanyike mahali..
Sawa mkuu..Muasisi alikuwa DJ- Jay dee!!!
Mtaalamu wa mtaa wa mangoma siku za jmoc na alhamic love story kuanzia saa nne usiku!! Ebwanaee kitambo sana miaka ya 1998!!!!
Hapana Should I say yes imeimbwa na Nu ShoozJoyce sims _ should I say yes; should I say no. Ni bonge la kiburudisho kwangu.
Mtaa wa mangoma founder ni dj Jd sasa anapiga na wenzake kule Hyatt HotelMkuu mimi sio mhenga ila hizi ngoma ninazikubali sana na nilikuwa mpenzi wa kipindi cha Radio One kinaitwa Mtaa wa Mangoma na mtangazaji alikuwa jamaa fulani anaitwa Moses Justine a.k.a Papaa Mo, nadhani ni marehemu kwasasa..
We jamaa mbaya sanaaaaaaAlways - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -
...ngoja niendelee kukumbuka chief,
Black box ni kundi mkuueverybody everybody kaimba dada mmoja anaitwa black box
1.Point of no return- Nu ShoozAlways - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -
...ngoja niendelee kukumbuka chief,
Aint nobody hahahahaahaaaaAnyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.
Kwa upande wa muziki wa mtoni at least wenyewe stil unaishi na ndio maana hadi ss tunaweza kusikiliza nyimbo za 2000's, 90's 80's, na hata 70's. Ukweli ni kwamba baadhi ya pini za miaka hiyo ni kali na zuri zaidi can bring a lot of memories.
Mimi naweza kusema ni muhenga kwenye hizi nyimbo ingawa nyingine zimenizidi kbs umri but yet nazikubali sn na najua ku-swing kiaina, inapotokea nahitaji kwenda sehemu ambayo nitakonga moyo wangu basi huwa najongea The Alcade East 24 kwa peter mo-Mikocheni au Club Legends kwa John Dillinga ambao wote ni wakali sana wa hizi mambo.
wakongwe wachache ambao wakubali ni kama
Gerald Levert (RIP)
Surface,
Shalamar,
New Edition,
Nu shooz
James Ingram
Mark morison
Mc Hammer
Chaka Khan
Calyn white
Ice Mc
Johny gill (Solo)
Bobby Brown (Solo)
Soul for real
Jackson 5
hawa ni wachache hasa kwa 80's ambao nyimbo zao nyingi zimekuwa copied na kufanywa upya new skul ambazo zonabamba kwa ss!
Kwa upande wa 90's wapo
Kevon Edmonds
usher Raymond
Ashanti
Ashley ballad
Tyrese
Mary J
Vyette chelle
Monica Anorld
Brandy
Non challant
Luniz
Nate Doggy
Warren G
Fox brown
Lil kim
Hao ni wachache.....
Kesho ntaanza kuwawekea track zao tuwaonye kwa taste za kazi zao.
[HASHTAG]#iloveoldies[/HASHTAG]
Hahahaaaaa umenikumbusha C and C factory aiseee nilikiskia juzi RFADJ JD.
======
[emoji343][emoji343]C+C Music Factory ni noma.
[emoji115]Every body dance now
[emoji115]Gonna make you sweat.