King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,590
- 94,355
Zinakuja Nyingine mbili soon.
imeisha vizuri tu tatizo watu uwa tunataka wale tunaowataka wawe kama tulivyotabiri kitu ambacho toka mwanzo GOT walikuwa wanakiepuka. btn into the badlands na GOT ipi imeisha vibaya?Kwa ilvoisha siwezishauri mtu aanze kuiangalia ni wastage ov time
Into the badlands haijaisha bado, kuna S04 inakuja.imeisha vizuri tu tatizo watu uwa tunataka wale tunaowataka wawe kama tulivyotabiri kitu ambacho toka mwanzo GOT walikuwa wanakiepuka. btn into the badlands na GOT ipi imeisha vibaya?
oooh okey lakini GOT personally imeishs poa daenerys alikuwa ashaonyesha dalili za ukichaa mapema hata hivyo ukichaa una run kwenye dam ya taegerysInto the badlands haijaisha bado, kuna S04 inakuja.