my ribs....humu ndani kuna vituko
mimi kwa kweli sitasahau nilipokutana na mdada anapiga pombe,bangi,sigara,viroba,hawez kulala asipotumia hivyo vitu..alinitesa sana kwa kuwa situmii hayo mavitu.aliponiacha hoi kuja tu kunisalimu mkoan kashajua wapi bangi inapatikana,daah alafu dada alikua mzuri..nilimtimua kwa kweli,nashukur nimetoka kweny mikon yake
Haaa...subiri nukupe saikolojia ya huyo mdada kuvaa chupi iliyotoboka toboka.....huyo alipanga hakupi siku hiyo, ila alikuwa na ile roho ya sitaki nataka...
Sasa ili kuishinda ndo akavaa chupi ilichakaa makusudi ili akija hata umshawishi vipi asikupe...kwa kuionea aibu hiyi pichu....! Wengine wanatinga pedi kabisaaaaaa!
Ila ushawishi wako ulimshinda ndo akaamua aachiee.....lol....!
Mi miliwahi kukuta mavuzi mengiiiiiii afu mtu bikra
Hapa hakuna cha kushangaza,
Kama mtu hana matumizi na huko anamfyekea nani?
hao ni shideer kwi kwi kwi