Mie sina hata moja
ahahahaa, shoga kwenye mambo yetu yale ya mwisho wa mwezi inakuaje?
Hata nilishayasahau, monopose kitambooo.
loh! kwahiyo upepo daily waingia na kutoka
Hata nilishayasahau, monopose kitambooo.
hivi hamnaga stereopose?
Hiyo sijaifikia, nikiifikia nitakuambia kama ipo mkuu.