Wapenzi mnaogeshana?

Wapenzi mnaogeshana?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,175
Reaction score
829,138
Mapenzi hunogeshwa na vitu vidogo vidogo mno busu kulishana kupeana pole nk wengi wetu huvidharau vitu hivi lakini vina nguvu kubwa mno kwenye kujenga mahusiano imara kuogeshana ni jambo muhimu mno lina ladha na uhondo wake, si lazima mwogeshane kila siku japo mara moja moja tu inatosha hebu jiulize mara ya mwisho kuingia na mwenza wako bafuni mkaogeshana ilikuwa lini? mlijisikiaje?
 
Mkuu, hii kitu ya kuogeshana iko applicable hata ukiwa kwa wakwe?
 
Mapenzi ya kwenye filamu hayo,ukileta kwenye uhalisia inakula kwako.mshana jr hata mgeshinda mnabebana binadamu humuwezi mkuu...
 
Unaishi ukweni? Wewe mzungu?

Hapana mkuu.....kiongozi juzi alifungua thread kuwa yuko ukweni na anapata shida kufanya mashambulizi maana amekabidhiwa kitanda cha coil spring na pia chumbachake kipo jirani na chumba cha wakwe.
 
Vipi Mshana,ulifanikiwa kumchenga mkeo kwa wakwe zako.Maana hatujapata mrejesho toka huko Sitimbi.
 
Teheeee hii kuogeshana inataka kuwe na maelewano home. La sivyo mtu anaingia bafuni unasikia sauti ya komeo tu kwa ndani!
 
kuogeshana na kuongeza ladha ya mahusiano ni kama kionjo na hutia hamasa hasa pale mnapoandaana kwa mgegedo
 
Back
Top Bottom