Wapenzi kuoga pamoja

Akuuuu sie mambo yetu tunayamaliza wenyewe walaaaa hatuyaaniki hadharani baby, alafu nimekumiss ujue Kaizer

Najua sn atoto....yani.....mimi usipime kabisa moyo unandundadunda
 
Last edited by a moderator:
huyo mpenz wake itakua alipata mwanaume mwngne akafanyiwa mambo hayo,angalien san wenye madem mpenz wako akidai vitu tofaut na kawaid itabid ujiulize why!

Wenye hoja hizi mwanishangaza!!!!
Hamtakaa mpate vitu vizuri maana hamtaki ubunifu. Acheni hizo.
 

Si bure kuna jambo kubwa limejificha hapo.
Sema watu wazima tu ndio tunaona.
 
Kama hataki mwambie wengie wataonga naye hadi kumlamba lamba shauri yake
 
Wenye hoja hizi mwanishangaza!!!!
Hamtakaa mpate vitu vizuri maana hamtaki ubunifu. Acheni hizo.

Usiwashangae,mwingine akifikiria bafu lenyewe lazima aone kuoga wawili kero!
 
Kuoga pamoja inaongeza upendo
 
Sasa akija kuumwa mpaka akashindwa kujihudumia mwenyewe kujisafisha haja zote atakataa wife wake asimuogeshe?
 
Hakuna tatizo hata kidogo kuoga pamoja,vinginevyo labda mmoja wenu hajiamini kimaumbile....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…