wapenzi kukosoana hadharani ...

wapenzi kukosoana hadharani ...

Eeeh kwa kwel n kukosa staha si bora ata kumtumia sms kwenye sim kama unaona kusubiri muondoke eneo la watu haiwezekan!
 
huenda wakiwa ndani ya home mmoja ni mbabe kuliko mwenzie, ndo maana akifika kwenye jamii ya watu anataka aonekane hana kosa

Sio tabia nzuri kurushiana/kunYAMBANA mbele ya uma wa watu


Mfano Baba/mama kumgombeza/kumsema mama mbele ya watoto...hii inamshushia mmojawapo heshima

itananeni chemba mtete

mkuu umenena !!!

ila hapo kwenye taa nyekundu ni ngumu sana kwa jamii nyingi za kiafrika kuitana pembeni na kuongea!!!!

wengi wao wanahisi kwamba ni ufahari sana kuongea mbele za watu!!

eti wanajijengea heshima na kuogopeka, such a fnck!
 
Hamna! Mke ni kitu chengine kabisa! Hata iweje huwezi kumgombeza hadharani!!!
Hii ni Wapenz na Wachumba sugu, mara baada ya kugundua ukimgombeza hadharani huenda akajirekebisha!

kwa hiyo mkuu unaamini kuwa ni sahihi couples kusemana hadharani mbele za watu?

hauni kwamba hii ni sawa na kuogea stendi ya mabasi ubungo?
 
Every thing should be measured by Reasonable person in reasonable circumstances!
...
Sikubaliani na wanaowagombeza wapenzi wao hao hadharani! Vile vile kuna mazingira nakubaliana na wanaogombeza hadharani!
...
Lengo la kumgombeza mwenzio ni kumtaka asirudie tena kile alichokifanya, Mh! Kila maradhi na dawa yake!
Believe me! kunavichwa kama hujaviaibisha havinyooki katu!!!

Hahahahaha jamanii
 
Siyo jambo zuri ni vema kuwekana sawa mkiwa peke yenu bila hata kusikiwa na mtu yeyote kuhusu mazungumzo yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom