wapenzi kukosoana hadharani ...

wapenzi kukosoana hadharani ...

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,956
wakuu.. i hope you are all good!!!

naamini kwamba kuwa na mpenzi mwenye staha huboresha maisha ya mapenzi katika penzi la wapenzi!!!!!

leo hii nimekuja na topic hii, mpenzi (whether a boy or a girl) kuwa na tabia mbovu ya kumkosoa mwenzi wake hasa on public, mimi binafsi huwa siipendi.. kama kuna tatizo ni bora kusemezana kwa pembeni pasipo na nafsi ya tatu kusikia mnachozungumza!!! iwe ni siri kati ya ninyi Lovebirds!

sasa mi huwa nashindwa kuzuia butwaa hasa ninapoona hasa mtoto wa kike, badala ya kuwa kioo kwa mchumbawe, yeye ndio anakuwa mkosoaji mkuu wa jamaake!!! thats too much boring!!

hata kwa watoto wa kiume pia, tabia ya kumkosoa dem wako hasa anapokuwa na marafiki zake ama tufanye tu ni watu wengine tu ndani ya jamii, inakuwa si vizuri, kwanza unamuathiri kisaikolojia, na hapo ndipo kutojiamini kunapokuja!!

kwa mfano, tufanye tu kwamba mpenzio, ametoka akiwa amevaa ndivyo sivyo .. je ni busara kuanza kumshushua mbele za watu? assume ndo mmekutana sehemu ambayo ina watu kibao!! like kariakoo etc!



you couples, whether married or unmarried, divorced or whatsoever .. jamani tunatakiwa tu BADILI TABIA zetu jamani!!

mambo mengine yafanyikie vyumbani mwetu,, yaachwe vyumbani mwetu!!

ni hayo tu!!
 
Last edited by a moderator:
Every thing should be measured by Reasonable person in reasonable circumstances!
...
Sikubaliani na wanaowagombeza wapenzi wao hao hadharani! Vile vile kuna mazingira nakubaliana na wanaogombeza hadharani!
...
Lengo la kumgombeza mwenzio ni kumtaka asirudie tena kile alichokifanya, Mh! Kila maradhi na dawa yake!
Believe me! kunavichwa kama hujaviaibisha havinyooki katu!!!
 
najua tunapaswa kurekebishwa pale tunapokosea.....lakini inatakiwa itumike njia sahihi kwenye kumrekebisha mtu.....ila sasa binafsi kukosoana hadharani ni kudhalilishana.....
 
najua tunapaswa kurekebishwa pale tunapokosea.....lakini inatakiwa itumike njia sahihi kwenye kumrekebisha mtu.....ila sasa binafsi kukosoana hadharani ni kudhalilishana.....

ni kweli!!

u much know nao unachangia sana unajua!!

kujifanya mtoto wa mjini nako,, mambo ya chumbani yanaletwa sebuleni!
 
ni kweli!!

u much know nao unachangia sana unajua!!

kujifanya mtoto wa mjini nako,, mambo ya chumbani yanaletwa sebuleni!
ni kweli mwisho wa siku mnajikuta mnadhalilishana na kuwa kituko mbele za watu....
 
najua tunapaswa kurekebishwa pale tunapokosea.....lakini inatakiwa itumike njia sahihi kwenye kumrekebisha mtu.....ila sasa binafsi kukosoana hadharani ni kudhalilishana.....

Na ishara ya dharau na kukoseana heshima kwa kiasi fulani
 
huenda wakiwa ndani ya home mmoja ni mbabe kuliko mwenzie, ndo maana akifika kwenye jamii ya watu anataka aonekane hana kosa

Sio tabia nzuri kurushiana/kunYAMBANA mbele ya uma wa watu


Mfano Baba/mama kumgombeza/kumsema mama mbele ya watoto...hii inamshushia mmojawapo heshima

itananeni chemba mtete
 
hizi tabia zinanikera kulko navyosema. BTW hadi waliotalikiana? Sasa hao ni wapenzi?
 
Every thing should be measured by Reasonable person in reasonable circumstances!
...
Sikubaliani na wanaowagombeza wapenzi wao hao hadharani! Vile vile kuna mazingira nakubaliana na wanaogombeza hadharani!
...
Lengo la kumgombeza mwenzio ni kumtaka asirudie tena kile alichokifanya, Mh! Kila maradhi na dawa yake!
Believe me! kunavichwa kama hujaviaibisha havinyooki katu!!!

kwa hiyo mkuu unaamini kuwa ni sahihi couples kusemana hadharani mbele za watu?

hauni kwamba hii ni sawa na kuogea stendi ya mabasi ubungo?
 
hizi tabia zinanikera kulko navyosema. BTW hadi waliotalikiana? Sasa hao ni wapenzi?

sidhani kama waliotalakiana wanaweza tena kutoleana maneno hadharani..

au wewe unaonaje mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom