Wapenzi hawa wanaendana kweli?

Wapenzi hawa wanaendana kweli?

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372
310338_224160010974636_100001419162673_613115_1516890583_a.jpg
Tupeane tathmini ya hii picture
 
mkubwa watakuwa wanaendana tu, mana wangekuwa hawaendani huyo binti angekuwa kishakimbia!!! naona unawasiwasi na kijana labda, vijana wengine wanaweza kuwa wembamba hivo ila uzito wooote umekimbilia chini kwenye yale mambo yetu yale!! kwa hiyo naamini ndo mana bi mkubwa hapo anaonekana kafika
 
Songíto;3110181 said:

Well said.
 
Makuuubwa!! Vijana wadogo kwa kupenda kuendesha Semi Trailler!! Kaazi kweli kweli.
 
Songíto;3110181 said:
mkubwa watakuwa wanaendana tu, mana wangekuwa hawaendani huyo binti angekuwa kishakimbia!!! naona unawasiwasi na kijana labda, vijana wengine wanaweza kuwa wembamba hivo ila uzito wooote umekimbilia chini kwenye yale mambo yetu yale!! kwa hiyo naamini ndo mana bi mkubwa hapo anaonekana kafika

Du kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi
 
Kazazi cha leo kazi kweli kweli
 
Songíto;3110181 said:
mkubwa watakuwa wanaendana tu, mana wangekuwa hawaendani huyo binti angekuwa kishakimbia!!! naona unawasiwasi na kijana labda, vijana wengine wanaweza kuwa wembamba hivo ila uzito wooote umekimbilia chini kwenye yale mambo yetu yale!! kwa hiyo naamini ndo mana bi mkubwa hapo anaonekana kafika

hujakosea mkuu
 
asee hapo hakuna kit ila mapnzi ni kizunguzungu
 
Back
Top Bottom