Wapenz wa Twanga Pepeta

SAFARI 2005 sijui nipo sahihi, naipenda sana hiyo nyimbo...twanga ya siku hizi sio ya kipindi kile....enzi ile ilikua twanga kweli kweli
 
Enzi hizi msafiri Diof ndio rapa bora Afrika Mashariki
 
SAFARI 2005 sijui nipo sahihi, naipenda sana hiyo nyimbo...twanga ya siku hizi sio ya kipindi kile....enzi ile ilikua twanga kweli kweli
naipenda hiyo nyimbo sijui sbbu jina la aliyeimbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…