Wapendwa watoto wetu.

Wapendwa watoto wetu.

kirundi

Member
Joined
May 28, 2011
Posts
31
Reaction score
6
Habari zenu great thinkers.
Nimekuwa mfuatiliaji wa jamii forum kwa muda mrefu lakini leo nimependa kushare nanyi kuhusu malezi ya watoto wetu wapenzi
Siku hizi Dunia imebadilika sana si vizuri kuruhusu wageni hata kama wa jinsia moja na wanao kulala na watoto wako.kama mgeni ni wa kukaa muda mfupi ni bora umlipie guest house au amua wewe mzazi kulala na watoto wako hasa under ten yrs.na kama mgeni ni wa muda mrefu ni bora umpangie chumba jirani na unapoishi ili aweze kupata yale mahitaji muhimu mfano chakula toka kwako.
 
Sawa baba/mama ila hujafafanua madhara yake ili ueleweke vizuri
 
Nahisi kuna jambo unaficha weka wazi ili 2pate fundisho vzuri aisee!
 
mama yangu akija kunsalimia nimlipie guest house
au nimpangie chumba.......

tuambie labda madhara yake tuelewe vizuri
 
Samahani kwa kuna watu waweza kuwaamini ukaacha walale na watoto wako lakini watoto wenye umri mkubwa kuliko wanao na vijana wakubwa ambao ni ndg zako lakini huwajui vizuri tabia zao si vema kurisk.siku hizi watoto wanalawitiwa na kutendewa mambo machafu na hao hao ndg/jamaa zetu.naamin kinga ni bora kuliko tiba.
 
Mtu unayemuamini waweza kumuacha alale na mwanao lakini usifanye hivyo kwa kila mtu.
 
Ni mawazo mazuri kwa kweli, ila utekelezaji wake unahitaji uwe kichwa, hasa kwa sisi kipato cha chini na kati ambazo family zetu zimezama ktk poverty cycle.
Imagine ninaamua kulala na kijana wangu wa miaka 14 ili ampishe uncle wake chumba. Lkn ni sawa, kuliko kuingizwa katika ufirauni na usagaji ni bora tushee chumba.
 
Hapa kweli ni hatari,mana wanadamu wamegeuka mno.
Kama huna hela ya kumpangia chumba bora ulale na wanao chumbani kwako.
 
Dunia sasa imechafuka kweli lisemwalo lipo asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom