johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,116
Nawasalimu nyote katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo
Katika Kitabu cha Daniel mlango ule wa 9 kuanzia mstari wa 23-27 tumepewa majuma 70 ambapo 7 ni Yerusalemu kujengwa upya na majuma mengine 62 ambapo Masihi wa Mungu atauawa katika Juma la 62
Hesabu za Uyahudi ya Kale Juma 1 ni miaka 7
Je, tunaishi Kwenye Juma la Ngapi sasa?
Kanisa limeshanyakuliwa au bado?
Haya yanayoendelea sasa duniani yanafikirisha sana
Natanguliza shukrani kwa majibu yenu!