ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi wa kwanza
kweli wapendwa naomba mnisamehe bure kwa kuwapotezea muda wenu kujibu..
na msamahaa zaidi uwende kwa alieandika hiyo thread..
nimeona imelete migogoro kidogo humu ndani..
yote makosa yangu ndo maana niko mbele yenu kuomba radhi..
hahaah lol
mie nahitaji maombi ya kila kitu my dear..
asante kwa kunishtua kuhusu ...................:sick::sick:
hhahahhaha lol
ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi wa kwanza
kweli wapendwa naomba mnisamehe bure kwa kuwapotezea muda wenu kujibu..
na msamahaa zaidi uwende kwa alieandika hiyo thread..
nimeona imelete migogoro kidogo humu ndani..
yote makosa yangu ndo maana niko mbele yenu kuomba radhi..
The Following 5 Users Say Thank You to afrodenzi For This Useful Post:
Felixonfellix (Today), Kaizer (Today), Maxence Melo (Today), NILHAM RASHED (Today), WiseLady (Today)
hapo najiuliza tu.......huyu mkulu ni nadra sana kuonekana mitaa hii...kumbe huwa anachungulia chungulia.......:clap2::coffee:
Naungana na wewe WL kuwa mlimani.Nilishakuahidi nitakuwa na ww jicho langu likikutizama...........mlimani:car:
Jamani msameheni bosi wetu bure.Hamjui kuwa dokta kasema asitumie sana kompyuta?kama nakosea nipo tayari kukosolewa.nashukuru sana my dear ...
napia namshukuru huyo boss wetu kwa kujitokeza..
Usijali mpendwa maana isingekuwa Ki Mey nadhani ile threat ingefika kama page 20 mpaka wakati unaiona The Finest akaua kabisa kuleta link ya thread uliyopongezwa kabla hehehehe. Sorry kwa kuchelewa ku comment si unajua nipo busy na Nilham na bado hakijaeleweka?