sasa hapo ndo umenisamehe au ndo nini tena hiyo mkuu??
hahahahaha lol
hii misamaha migine bwana duuhh..
vipi mpenzi turudi kule chumbani kwako nikakusaidie
hahahah lol
heheheeh bwana hayupo subiri arudi....tukiwa mie na wewe tuu chumba kitakuwa kikubwa,,,,,bora tuwe sote.. :clap2: :clap2::clap2:
Binadamu wote tunakosea, na jambo linalomfanya binadamu atukuke ni KUKIRI MAKOSA na kusema: NISAMEHE. Kwa kuwa umelifanya hilo sioni kwa nini usisamehewe. Mimi ninatanguliza yangu- Umesamehewa. :clap2:
asante sana mwaya ..
KESI GANI TENA HIYO JAMANI DEAR??????????
hahahahah lol
haya bwana
hata mie namsubiria kwa hamu .
labda kazama kwenye Google anatafuta sura mpya lol
hahahah lol