Zipo nyingi tu chini ya kapeti la mjengo mweupe, wanafanya usafi wa mwisho wa mwaka.
Magufuli mlimwita dikteta gani jina la ajab kweli nimesahau, huyu mnamwita kibibi. Hiko hivi, msipojifunza kuwa positive attitude kwa wenye mamlaka mtazeeka na stress nyie watu. Kwamba ninyi ndio mkipata madaraka basi mtakuwa malaika sio? Never, na sasa ndo naanza kuona why maza kaamua mbwai na iwe mbwai na hamfanyi chochote. Liberal democracy is never good for our country it's so seem had pale watu tutakapoanza kuwa wastaarabu.Kibibi kina kazi kwelikweli, ukiangalia list ya kiliowateka na kuwapoteza unagundua hana tofauti na kina nduli Amin na Mobutu
Sikiliza wewe chawa wa Abdul. Huyo Magufuli wako yupo wapi? Mkapa yupo wapi? Kikwete yupo wapi? Hata huyu Kibibu shetani anaweza kuondoka muda wowote kama Magufuli. Naomba hata huu mwaka asiumalize.Magufuli mlimwita dikteta gani jina la ajab kweli nimesahau, huyu mnamwita kibibi. Hiko hivi, msipojifunza kuwa positive attitude kwa wenye mamlaka mtazeeka na stress nyie watu. Kwamba ninyi ndio mkipata madaraka basi mtakuwa malaika sio? Never, na sasa ndo naanza kuona why maza kaamua mbwai na iwe mbwai na hamfanyi chochote. Liberal democracy is never good for our country it's so seem had pale watu tutakapoanza kuwa wastaarabu.
utajua tu hivi karibuni kwamba huyu kibaraka ni changamoto mno katika kutii na kuheshimu sheria za nchi na kwakweli hafai hata kua kiongozi wa kijiji Tanzania 🐒
Acha ufalaMagufuli mlimwita dikteta gani jina la ajab kweli nimesahau, huyu mnamwita kibibi. Hiko hivi, msipojifunza kuwa positive attitude kwa wenye mamlaka mtazeeka na stress nyie watu. Kwamba ninyi ndio mkipata madaraka basi mtakuwa malaika sio? Never, na sasa ndo naanza kuona why maza kaamua mbwai na iwe mbwai na hamfanyi chochote. Liberal democracy is never good for our country it's so seem had pale watu tutakapoanza kuwa wastaarabu.
nilishawambia,wataondoka hapa duniani wakiwa ni watu wenye masononeko na stress nyingi sana,,just imagine unaishi maisha yote we ni mtu wa kulalama tu mitandaoni,unakufa huku ukilalama,what a sorry state to live..!!🙆🏽♂️Magufuli mlimwita dikteta gani jina la ajab kweli nimesahau, huyu mnamwita kibibi. Hiko hivi, msipojifunza kuwa positive attitude kwa wenye mamlaka mtazeeka na stress nyie watu. Kwamba ninyi ndio mkipata madaraka basi mtakuwa malaika sio? Never, na sasa ndo naanza kuona why maza kaamua mbwai na iwe mbwai na hamfanyi chochote. Liberal democracy is never good for our country it's so seem had pale watu tutakapoanza kuwa wastaarabu.
hata kama..wa kujaza nafasi wako wengi tu huko ccm,,haitawasaidia kitu,,chakufanya jengeni chama chenu ili kiwe na nguvu,kianze kuokota wabunge,kidogo kidogo watajaa tu,hivyo ndo vyama vyote duniani hufanya,,sasa nyie kama mnadhani kuna njia za mkato,mnapiteza mda tu,mtalalama,mtazeeka mkilalama,mtakufa mkilalama na siku yesu anakuja kutupeleka mbinguni,mtafufuka mkilalama tu🙆🏽♂️🙆,na hadi huko mbinguni mtakuwa mkiendelea kulslama,ooh ccm sijui imefanya nini na nini...bure kabisa enyi watu.Sikiliza wewe chawa wa Abdul. Huyo Magufuli wako yupo wapi? Mkapa yupo wapi? Kikwete yupo wapi? Hata huyu Kibibu shetani anaweza kuondoka muda wowote kama Magufuli. Naomba hata huu mwaka asiumalize.
Uko sawa Mkuu. Kwanza Lissu akipata madaraka atakuwa Dikteta mbaya kuliko hata hawa tunaowaona.Magufuli mlimwita dikteta gani jina la ajab kweli nimesahau, huyu mnamwita kibibi. Hiko hivi, msipojifunza kuwa positive attitude kwa wenye mamlaka mtazeeka na stress nyie watu. Kwamba ninyi ndio mkipata madaraka basi mtakuwa malaika sio? Never, na sasa ndo naanza kuona why maza kaamua mbwai na iwe mbwai na hamfanyi chochote. Liberal democracy is never good for our country it's so seem had pale watu tutakapoanza kuwa wastaarabu.
Hasa hasa John Heche, kila akipanda Jukwaa yeye ni kulalamika na kusema hakuna maridhiano? Nashangaa hawa wapiga kura wa CHADEMA waliona nini kwa Heche mpaka wakampa umakamunilishawambia,wataondoka hapa duniani wakiwa ni watu wenye masononeko na stress nyingi sana,,just imagine unaishi maisha yote we ni mtu wa kulalama tu mitandaoni,unakufa huku ukilalama,what a sorry state to live..!!🙆🏽♂️
Anaweza kuondoka muda wowote, hata wewe unaweza kuondoka muda wowote. Ila tambua hata akiondoka CCM ni ileile, hawezi kutokea kiongozi wao yeyote atakaye walegezea. Pumbavu zenuSikiliza wewe chawa wa Abdul. Huyo Magufuli wako yupo wapi? Mkapa yupo wapi? Kikwete yupo wapi? Hata huyu Kibibu shetani anaweza kuondoka muda wowote kama Magufuli. Naomba hata huu mwaka asiumalize.