Mkuu.@kingfish Hii ni Photoshop sio kweli hawawezi hao kula pamoja hata siku moja mkuu.Lucky dube aliimba "no every is blackman is my brother,no every whiteman is my enemy."
Mkuu.@kingfish Hii ni Photoshop sio kweli hawawezi hao kula pamoja hata siku moja mkuu.
Tuambie huyo nyau anachofikiria hapo. Please.Yani siku hawa wakiwa marafiki...mwisho wa dunia utakua umefika!!
Mh...madhiwa na panya...hapo sina jibu ila inaonekana maziwa yamekua matam zaid...ila akigeuka yanaweza kuwa mengineTuambie huyo nyau anachofikiria hapo. Please.
Kawaida kama wanyama wakifugwa pamoja wakafunzwa...ingawa mambo yabaharibika sometimesKuna kipindi kiko Animal Planet.....nimesahau kinaitwaje I think ni 'strange attractions' kinaonyesha wanyama ambao ni adui in nature wamekuwa marafiki.
Nimeona episode moja tu, paka na mbwa wanaishi nyumba moja na wanacheza wote wala hawafukuzani
So u never know
Kawaida kama wanyama wakifugwa pamoja wakafunzwa...ingawa mambo yabaharibika sometimes
n kweli mzizimkavu hao wanyama hawawezi kuwa zizi moja,lakini pamoja kuwa hii ni fotoshop,ni fasihi,inaleta ujumbe kwetu wanadamu,wanaogombana au maadui hawawezi kupatana?mkuu.@kingfish hii ni photoshop sio kweli hawawezi hao kula pamoja hata siku moja mkuu.