Wapenda mitungi wenzangu - njooni hapa tuitetee Pombe

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
10,745
Reaction score
29,218
Maskini pombe, haina mdomo wakumsema mtu vibaya, haina miguu kusema itamfata mtu nyumbani kwake, yenyewe imejitulizia ndani ya kifungashio chake kimya.... lkn kutwa kuchwa ipo midomoni mwa watu kusemwa vibaya na kusingiziwa malalamiko kibao. Hebu cheki hapa baadhi ya hali/mambo ambayo pombe huonewa:

Hisia, dawa ni moja – pombe!
• Nimechoka – Ngoja nikanywe pombe nipate nitoe uchovu.
• Nimekasirika – Hii hasira siwezi ituliza bila bia.
• Nimesalitiwa – Pombe ndiyo rafiki na ndugu yangu wa kweli.
• Nina stress kazini – Nipite kwa Zuu nikagonge nyagi moja nipunguze mawazo.
• Nina furaha sana – Sherehe haikamiliki bila pombe bana
• Nimefiwa – Marehemu ananiuma sana ngoja nikagonge mitungi niweze kusahau maumivu

Kisingizio, dawa ni moja tu - mityungi
• Samahani nilikupigia simu usiku mnene – ilikuwa ni mitungi tu
• Mimi nilikutongoza? Aah, hiyo ni pombe iliongea, si mimi!
• Niliangusha TV? Aisee, nilikuwa na bia nyingi kichwani, Nitakulipa tuu
• Nisamee nilibaka mwanao, zile ni pombe tuu

Kupoteza vitu - mchawi pombe
• Simu yangu imepotea... mitungi ilizidi
• Wallet yangu haipo... jana nililewa vibaya sana
• Nimeamka chumbani kwa dada wa kazi... pombe iliniongoza nisamee wife

Ujasiri wa ghafla - ni nini kama sio pombe bhana
• Kucheza bila aibu mbele ya watu: “Akh Hiyo ilikuwa pombe tu.”
• Kumtukana bosi mbele ya wafanyakazi wengine: “Nisamee bosi nilionja kidogo!”

SHWAINI KABISA. Pombe haina mdomo wa kujitetea – ndiyo maana watu wengi huibebesha mizigo ya matendo yao. Lakini ukweli ni kwamba, mara nyingi ni sisi tunaofanya maamuzi hayo, halafu tunampa pombe lawama! 😄 SASA SISI WAPENDA POMBE TUUNGANE KUITETEA
 
1000125194.png
 
Duuh,nimemuacha pombe,simsingizii Tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom