kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,729
- 14,159
N. Korea inakataa vikwazo visivyoisha inavyowekewa na mabeberu kutokana na kukataa masharti yasiyozingatia usawa na haki kwa mataifa yote.
N. Korea haina tofauti na Libya, Syria, Iraq, Iran, Sudan, Zimbabwe na sasa Urusi ambazo zilikataa kutii amri za mguu pande mguu sawa za mabeberu. Vikwazo hivi ambavyo mara zote vinalenga kulinda maslahi ya nchi za kibeberu huwa vinaumiza uchumi na ustawi wa mataifa hayo.
Mabeberu wanalazimisha mataifa yote duniani yaendeshe siasa ambazo zinaruhisu mabeberu kupora mali zao kwa njia hii au ile.
Korea haina cha kupoteza inaweza kwenye mzozo na Marekani inaweza kufanya kitu ambacho dunia itakijutia milele.
Ili kuepusha ukorofi wa N. Korea ni kuiondolea vikwazo vyooote vya kiuchumi , silaha na kidiplomasia iliyowekewa na mabeberu na washirika wao. Kila taifa lina haki ya kujilinda dhidi ya taofa lingine.