Wapemba rekebisheni kiswahili

Wapemba rekebisheni kiswahili

Sasa Ww dereva unayeendesha mto hukuuona ,iweje abiria uliyempakia nyuma aone MTO

Ina maana ulikuwa unaendesha kinyume nyume au
Huyu dereva ni kipofu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa Ww dereva unayeendesha mto hukuuona ,iweje abiria uliyempakia nyuma aone MTO

Ina maana ulikuwa unaendesha kinyume nyume au
alienndesha akiangalia side mirror....si unajua mgongoni kuna zigo lina ushungi
 
Sasa Ww dereva unayeendesha mto hukuuona ,iweje abiria uliyempakia nyuma aone MTO

Ina maana ulikuwa unaendesha kinyume nyume au
Yaani nyuzi nyingine uongo mkubwa kuliko ukweli, dereva usiuone mto, afadhali angesema dimbwi!!
 
Ukistaajabu ya JF utaona maajabu yake.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom