Wapemba na mabinti wakibongo

Wapemba na mabinti wakibongo

wanawake wa kibongo hufuata nyota ya kijani, hao wenzetu nyota ya kijani hawaijui kwa miaka 7 ndani ya ndoa mama anokuwa na watoto 7, mambo hayo m,bongo hawezi. kisa cha msichana wa miaka 23 kuzeeshwa na uzazi kama bibi wa miaka 60 nini. wadada wa bongo wanaenda na wakati ndio mana hao wapemba wanawashindwa

hiyo sio point wapemba wanawachukulia mabinti wa kibongo ni vicheche na ukiangalia ni kweli bongo sio sehemu ya kuoa
 
hiyo sio point wapemba wanawachukulia mabinti wa kibongo ni vicheche na ukiangalia ni kweli bongo sio sehemu ya kuoa

Haya bana, mi hapo mgeni, tutaenda kuoa maraika mbinguni. kwaheriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hawana ata moja wanalojua kupika muda wote wanawaza kuiba tu, nn marafki zangu wat wazima wanasema wakiwa dar hawali hoteli yoyote ispokua muwe na mpish wa kipemba.

tatazo moja wapenda wachoyo,wabinafsi na mafirauni.
 
Hilo nikweli mkuu kuna kajomba kangu kanachezewa nampemba anakadanganya na masimu used kenyewe kanatumika tuu et atanioa -------
 
Back
Top Bottom