Wapemba baada ya Kuona video ya nandy na bilnas....!!!

Wapemba baada ya Kuona video ya nandy na bilnas....!!!

Wanajamvi nitaikuta wapi hiyo video, nijilie tu kwa macho!!
 
Kujirecord ashike yeye msamaha aombe yeye si uchizi huo alikuwa anatanga business sio mbaya watachangamkia furusaha.
 
Oya biriani wapi leo sheikh? Ijumaa hii..
Hakuna biriani leo mkuu, vyuma vimeng'ang'ania[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] hapa ndio narudi feri, karibu nyumbani ubwabwa/ugali samaki.
 
Back
Top Bottom