Wape ushauri dereva na utingo wake!

Duh! Hizi gari zilikuwa nyingi sana miaka ya 80 na 90! Kumbe bado zipo mpaka sasa.
 
Wakilala vichakani mbali na gari kuna nyoka pia
 
Utingo aote anachimba mhogo( jeki) nakuuvuta kuuvuta kwanguvu.
 
Unajua hiyo picha ni ya mwaka gani?
Wakati mwingine upunguze ujuaji! Na pia uwe unatumia common sense. Namba za usajili zinasoma T 6.. ALN! Maana yake hiyo picha siyo ya zamani.

Na badala yake itakuwa imepigwa kwenye miaka ya 2000's baada tu ya kuanza kutumika kwa namba mpya za T.... A..! kutoka zile namba za zamani za TZA... TZB....., nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…