Wape neno moja wakali wa msimbazi kutoka Brazil

crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
994
846
FB_IMG_15741712566469598.jpg

Uzi tayari karibu jamvini
 
Mimi na waambia tu wakumbuke dhithi idhi Tanzania tunajali ndumba kuliko vipaji.

napia uwape ujumbe kwamba, kocha hananguvu yakumpanga mchezaji amtakaye,Wala kucheza mfumo anaoona unamfaa. wenye uwezo huo ni wachache wenye pesa zao.
 
Wakati mwingine wasikubali kujiharibia CV zao kirahisi kabisa kwa kusajiliwa na timu yenye mashabiki wengi 'mbumbumbu"
 
Back
Top Bottom