Shemeji yenu wapare kaongezwa kwenye orodha ya mafisadi, je inawezekana dada yenu kupona kuwa fisadi wakati hata harusi yao ilifadhiliwa na fedha za EPA!
ktk mkoa wa kilimanjaro maeneo yote ya wapare waliwapa ccm kura!sijui tunapata faida gani toka ccm na huku mashule,barabara tumejenga kwa nguvu zetu wenyewe-msaragambo.inasikitisha sana