[emoji51] [emoji51] masumbeni
Umenikumbusha Minja Secondary kwa mzee Alfred Mfwangavo
[emoji51] [emoji51] masumbeni
Kubana matumizi pamoja na "improvisation" (ubunifu wa kifaa kwa kutumia mazingira yaliyomzunguka) 😀 😀Wakiongozwa na mshana jr hii ni hatari kwa usalama wenu barabarani heheheheee.
Wapare ni watani zangu hivo tucheke wote tuu ila mna tabasamu zurii. .... kama la huyu kaka kwenye picha heheheh.
View attachment 403772
Wakedhije wa kaka.