Mbinu kiboko kuliko zote ni kumuwahi mpiga kizinga kabla hajakupiga. Yaani ile unapokea simu yake tu unamuuliza kulikoni mbona ulikuwa hupatikani? Akianza kujitetea unamkatiza kwa kumwambia nilikuwa nakutafuta nikukope. Au unaanza kumlilia shida kabla hajasema zake hadi anaishiwa pozi.