Mama mwenye nyumba vp yupo? Au nae anabadilishwa?
Sidhani kama hao madem wanalingana uzuri. Mwenye mke mbaya anampunja wenzie.
na ww badilshana nao kwa mke wako
Sidhani kama hao madem wanalingana uzuri. Mwenye mke mbaya anampunja wenzie.
your english is an insult to Oxford