Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,768
- 4,878
Kamanda kama kawatelekeza na ni watoto wa mama bro piga moyo konde washike mkono kabisaKwamfano baba yao kawatelekeza huwezi kumsaidia mama yako kuwalea wadogo zako hao?

Watelekeze kwa mudaMfano me mwenyewe sina project as i said kwamba naishi kiujanja tu