Wapambanaji wenzangu, Ungewezaje kui-handle hali hii?

Wapambanaji wenzangu, Ungewezaje kui-handle hali hii?

Ni kwa sababu wewe upo na hivyo wametengana basi kila mmoja anataka akutumie vizuri
Amka kijana, ni wazazi ndio ila kuna mambo ukiendekeza hutafanikiwa mwishowe utawaona mzigo na kuchukia wazazi.
Mwambie mzee ajishughulishe ili wakupunguzie mzigo maana hadi umelalamika means ni umelemewa
😓
 
Sasa tusi kiaje? Yan mfano utoe 50k ya chakula kwa kila mtu wakati wangekuwa wapo pamoja ungetoa 70k tu ingewatosha kwa chakula
ni kweli ila sio rahisi wao kurudiana.
 
Kama tegemezi ni baba na mama tu, hakuna shida; watumie katika uzalishaji wako
 
Hapo umri wa wazazi umetupiga bro!

Ukweli maisha ni magumu sana wakati unapo anza , tena ikiwa unaanza na hauna msingi, iwe wa elimu au mtaji.
Brother ni changamoto haswa, mpaka unakosa nuru!

Lakini ni kwa wakati tuu, sote au wengi wetu tulikuwa kama wewe na kuzidi lakini hatukukata tamaa moja kwa moja japo kwa kiasi tulikata tamaa, lakini tulikaza na leo hii hata kama si kwa kiwango kile cha matarajio lakini kuna uafadhali.

Weka nia, ongeza juhudi, tafuta maarifa, kuwa na nidhamu kwa kila kitu, kuwa na malengo ya muda mrefu hata yawe madogo lakini yakitimia hutua moyo sana.

Mungu akuwezeshe ndugu yangu.
Mama 38 baba 48 alafu mtoto 30 tumepigwaa!
 
Wachane Ukweli au waongopee, ili utimize Malengo yako. Waongopee hivi; Waambie kuwa ulimdhamini mtu akaomba mkopo Benki na muda wa kulipa umefika na huyo mtu kakimbis, kwahiyo hilo deni unatakiwa ulipe wewe na nirefu linaweza kuchukua hata miaka 3.

Endelea kuwadanganya kuwa chanzo cha kumdhamini huyo Mtu ni kwamba alikuambia kuwa ukimdhamini na akafanikiwa kupata mkopo basi atakupatia Ganji kidogo. Na wewe kwakuwa ulikuwa na shida ya ela ikabidi umdhamini.

Sasa Muafaka umefika unalipa kidogokidogo kwahiyo waambie wakuache wasikuumize kichwa ili ulipe deni kwa amani.

Sasa tumia mwanya huo kutimiza Malengo yako, Ukiendekeza Mbususu Shauri yako.
 
Shukran
 
Kama ni wao wawili tu na hakuna watoto; hakutakuwa na gharama, unaweza ukafungua project ndogo, wao wakawa wasimamizi

Kama ni wao wawili tu na hakuna watoto; hakutakuwa na gharama, unaweza ukafungua project ndogo, wao wakawa wasimamizi
Mfano me mwenyewe sina project as i said kwamba naishi kiujanja tu
 
Kuna watu watakubali ila mimi ni heri lawama wanababa yao mzazi kabisa yani wewe wanakua wamekuweka kama source ya kukupiga vizinga
Kwamfano baba yao kawatelekeza huwezi kumsaidia mama yako kuwalea wadogo zako hao?
 
Back
Top Bottom