Wapambanaji tukutane hapa

Wapambanaji tukutane hapa

#wakuu katika harakati zakutafuta maisha__nishahangaika sana (mm naishi dar) nataka nicheki upande wapili (naitaji mganga konki kabisa atakaeweza kunipatia utajiri ) mwenye connection plz naomba tuwasiliane mana maisha yabongo nimagumu sanaaa..! (Nataka mtaalam konki kabisa yan aliebobea kwenye kazi hizo sitaki hawa wanaosema toa laki tano ) __mdau yeyote anayejua anapopatikana mtu wahivyo naomba tuelekezane plz
Kuna mganga mmoja wa kweli. Ila masharti yake sasa! Utayaweza? Kama unadhani utayaweza niambie nikuelekeze.
 
Huyo fundi wa image kilolo ni mwamba ? Huo wa kidonda sugu unakuaje?
Huyu Fundi wa Kilolo ni wa moto haswaa,madereva wengi wa miaka ya nyuma wanamjua huyu mwamba,alikua anawapa midoli yake hiyo hata suka achape usingizi ila chuma unakuta iko kibati na ina overtake.

Siku hizi anatoa ule wa Mtungi kwenye Kona na kifimbo.
 
Mtungi kwenye kona nakifimbo ndo upoje
 
Mtungi kwenye kona nakifimbo ndo upoje
Huo unaambiwa utenge chumba maalum cha kuweka huo mtungi wako,unatengwa katika pembe ya tatu ukihesabu kutoka kushoto kwako kwa mlango.

Huo mtungi kila kukikucha utakuta pesa imejaa mpaka imefulumia juu(imeumka,imetuta),so wewe kazi yako ni kwenda kufanya leveling kwa kutumia kile kifimbo.
Unalevel kupunguza kale kanundu/kamlima ka pesa pale juu ya huo mtungi. Kifuatacho hapo ni kutumia hiyo pesa iloanguka hapo chini mpaka iishe siku hiyo,na kesho tena unafanya hilo zoezi.
 
Dah unatumia hela hio kula au kufanyaje sasa na vipi kama ni nyingi sana😅 au inakuwa ndogo?
 
Back
Top Bottom